Alhamisi ya June 27,2019 ilifanyika sherehe ya kumuaga Mke mtarajiwa wa MC Pilpili, Philomena ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City DSM, siku ya Jumamosi June 29,2019 MC Pilipili atafunga ndoa na Philomena na kuyaanza maisha mapya ya ndoa.
Ninazo tayari picha 10 kutokea kwenye Send Off ya Philomena iliyofanyika Mlimani City ikiwa sherehe hiyo ilihudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki wa karibu wa MC Pilipili pamoja na Mke wake mtarajiwa.
AUDIO:”NI KIKI KUACHANA KWA VANESSA NA JUX?” MASHABIKI WAHOJI