Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mbwabi Mwirora amefariki dunia katika eneo la Kisimiri juu wilayani Arumeru mkoani wakati wakifanya kazi ya pamoja yakujitolea kwa ajili yakujenga nyumba ya daktari
Mwenyekiti wa kijjiji hicho Mbaiyani Lukumay amesema walikuwa wanachi zaidi ya elfu moja wakati wa ujenzi huo kutokana na akina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya baada ya akina mama kufariki.