Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Tumepata msiba mkubwa, natoa gari bure kwenda muhimbili” Abood

on

“Tumepatwa na msiba mkubwa sana ambao hatujawahi kuupata katika Mji wetu wa Morogoro, kama Mbunge wenu Wagonjwa watakaopelekwa muhimbili kila ndugu mmoja atakayeongozana nao nitatoa basi langu moja litawapakia ndugu wote kuongozana na Majeruhi”~ Mbunge Abood

MKUU WA OPERESHENI ATINGA NA HELIKOPTA” OPERESHENI INAENDELEA ASKARI WAMETANDA”

Soma na hizi

Tupia Comments