AyoTV

Isikupite hii video walivyopokelewa Tanzania Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz baada ya tuzo za AFRIMMA.

on

Tuzo za AFRIMMA ni tuzo ambazo zimeasisiwa na Mnigeria ambaye Marekani yamekua makazi yake kwa muda mrefu tu na tuzo hizi zimekua zikifanyika kwa mara nyingine tena ndani ya ardhi ya Obama na kuhusisha Mastaa mbalimbali wa nchi za Afrika wakiwemo Madj, Producers, video directors na hata Wasanii.

Airport

Airport Dar es salaam.

Mwaka huu 2015 Tanzania imeng’ara kwa kuzichukua tuzo tano kupitia kwa mastaa wake watatu waliokua wanawania ambao ni Vanessa Mdee aliyeshinda tuzo moja, Ommy Dimpoz aliyeshinda moja na Diamond Platnumz aliyeshinda tuzo tatu ambapo baada ya ushindi huo ndio wakarudi nyumbani, tazama hapa chini uwaone baada ya kutua bongo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments