Baada ya kuachia single ya wimbo wake mpya wa ‘Nchi ya Ahadi’, Kala Jeremiah sasa ameachia Video ya wimbo huo ambapo ndani kamshirikisha mkali mwenzake Roma Mkatoliki.
Video hiyo imefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam huku ikiwashirikisha watu zaidi ya 250 wakati wa utengenezaji wake chini ya mtayarishaji Pablo.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie