Ajali

VIDEO: Historia ya eneo walikopata ajali Wanafunzi, Arusha

on

Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 35 wakiwemo wanafunzi 32 kutoka shule ya Lucky Vicent kwenye ajali ya gari iliyotokea Karatu, Arusha May 6, 2017. Ayo TV na millardayo.com imefika eneo ilipotokea ajali hiyo ambalo linatajwa kutokuwa na historia ya ajali.

Unaweza kulitazama hapa chini kwenye hii video…

Maombolezo ya kitaifa ya wanafunzi wa Lucky Vicent, Arusha…

Maamuzi yaliyofanywa na Bunge baada ya msiba wa Arusha…

Soma na hizi

Tupia Comments