AyoTV

VIDEO: “Nimepata amani ya moyo sababu sipendi malalamiko” – Alikiba

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amekaa kwenye EXCLUSIVE Interview na AyoTV Johannesburg South Africa dakika chache baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya MTV EUROPE ambayo alipewa Wizkid kimakosa lakini November 2016 ikatangazwa kuwa ni halali kwa Alikiba.

Kwenye hii video hapa chini amezungumzia kila ambacho unatakiwa kujua kutoka kwake sasa hivi akiwa Afrika Kusini pamoja na kitu Sony walichomfanyia…

VIDEO: Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival Kenya, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Alikiba LIVE on stage alivyomuita Jokate na Wema Sepetu, tazama kwenye hii video hapa chini ujionee

VIDEO: Alikiba alivyoimba LIVE na band yake Dodoma Feb 2017, bonyeza play kutazama hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments