Top Stories

Alshabaab wamevamia kambi yenye Wanajeshi wa Marekani

on

Polisi imethibitisha kuwepo kwa shambulio linaloendelea la AlShabaab katika Kambi ya Jeshi ya Simba Kambi hiyo iliyopo Kaunti ya Lamu inatumiwa na Wanajeshi wa Kimarekani na Kenya Mashuhuda wanadai kusikia milio mingi ya risasi huku moshi ukitoka eneo hilo.

AlShabaab imesema shambulio la leo kwenye Kambi ya Jeshi ya Simba halihusiani na yanayoendelea Mashariki ya Kati – Aidha, Jeshi la Kenya limethibitisha kupata miili 4 ya Wanamgambo wa Al-Shabaab japo halijasema iwapo Wanamgambo hao wameuliwa au kujilipua.

WATU WANNE WA FAMILIA MOJA YA MGANGA WA KIENYEJI AKIWEMO MJAMZITO WAUAWA KIGOMA

Soma na hizi

Tupia Comments