Habari za Mastaa

Alikiba kaimba Seduce me mara 3 Arusha

on

Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilizinduliwa rasmi katika mkoa wa Arusha ambapo wasanii mbalimbali waliweza kushare jukwaa moja na kuwapa wakazi wa Arusha Burudani ya nguvu, miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na mkali Alikiba ambaye aliperfom kwenye show hiyo.

Kwenye Show hiyo Alikiba Aliperfom kwa mara ya kwanza wimbo wake wa ‘Seduce me’ na kuurudia zaidi ya mara tatu kutokana na vile mashabiki walivyoushangilia sana na kumuomba Alikiba aurudie wimbo huo.

Bonyeza Play hapa chini kuona vidie ya Alikiba Akiperform wimbo huo..

Alikiba azungumza kuhusu mnaosema kaiba wimbo wa ‘SEDUCE ME’

Soma na hizi

Tupia Comments