Habari za Mastaa

Ulimmiss AT?… Huu ndio ujumbe wake kwako

on

AT ni moja kati ya wasanii ambao wamekua kimya kwa muda kidogo na unaweza kuwa na maswali kuhusu lini unaweza kumsikia na kumuona kwenye radio na TV station. AT ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika kuwa wiki hii ataachia ngoma mpya hivyo wewe shabiki wake ukae tayari.

>>Hii ndio Official song kutoka kwa #AT wimbo unaitwa #Sili_feel soon wiki hii utakua karibu yako #Next_selection hit Song artwork by @kallyboy_musicAT

Jokate

Pamoja na yeye, wasanii wengine waliopost kuhusu ujio wa kazi hiyo ni pamoja na Alikiba na Jokate 

Kaa karibu na kurasa za AT kwenye mitandao ya kijamii ili kujua atakapoachia wimbo wake huo lakini pia nitakusogezea hapa ili kuhakikisha haupitwi na chochote mtu wangu.

Video: ‘Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji’ – Darassa>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments