Habari za Mastaa

AudioMPYA: Joh Makini kaidondosha ‘content’

on

Kama utakumbuka mara ya mwisho Mwamba Joh Makini kutoa wimbo mpya ilikua ni October 2019 na ulikuwa ni wimbo wa I’m on it.

Sasa taarifa ikufikie kwamba Rapper Joh Makini leo February 14 ameachia mdundo mwingine mpya unaitwa ‘content”, PLAY hapo chini kuisikiliza

PART 2: WANANDOA WALIOPISHANA MIAKA 38WAMETAJA SIRI YA NDOA YAO

 

Soma na hizi

Tupia Comments