Millard Ayo

Unataka kuwa karibu na kila stori inayonifikia? Niko tayari kukutumia kwenye twitter, instagram na facebook. Natumia jina hilohilo @millardayo, links nimeziweka hapa chini.
Follow:
24902 Articles

Kuwa wa kwanza kusikiliza kionjo cha Wimbo mpya wa Barnaba unaoitwa Jasho la Mnyonge.

Barnaba Classic moja ya wasanii kutoka jumba la vipaji T.h.t. ameipa Exclusive…

Millard Ayo

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo February 1 2014

Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku…

Millard Ayo

Msikilize Mbwiga leo January 31.

Kawaida ya millardayo.com ni kukuendelea kukuweka karibu na kitu ambacho ulimis pengine…

Millard Ayo

Kuhusu Gari lililoungua moto jioni ya January 31.

Tukio la kuungua kwa gari hili limetokea barabara ya Nyerere jioni ya…

Millard Ayo

Hatimaye uwanja wa Azam Complex waruhusiwa kuchezewa mechi za kimataifa

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF leo tarehe 31 Januari 2014 limeupa kibali cha kuchezea mashindanoya kimataifa yanayoandaliwa na CAF uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuufanya uwanja wa kwanzaunaomilikiwa na klabu Afrika Mashariki  kuruhusiwa kuandaa (ku-host) mashindano makubwa ya vilabu Kwa mujibu wa barua pepe iliyotumwa leo na CAF kupitia kwa naibu mkurugenzi wa mashindano Bwana Khaled Nassar, Uwanja wa Azam Compex Chamazi umepita vigezo vyote vinavyohitajika na CAF kuchezewa mashindano ya kimataifa hivyo kuanzia tarehe ya leo, uwanja huu unaruhusiwa “kuchezewa mechi za CAF Bwana Khaled ameandika katika taarifa yake ya barua pepe kwenda TFF na Azam FC kuwa CAF ilimtuma mkaguziwake toka nchini Zimbabwe Bwana Wilfried Mukuna kuja kukagua uwanja huu. Bwana Mukuna aliwasilisha ripoti CAF iliyopelekea shirikisho hilo kutoa kibali kwa Azam FC na TFF kuruhusiwa kuutumia uwanja huu kwa mechi zinazoandaliwa na CAF Uongozi wa Azam FC umetoa…

Millard Ayo

Weekend hii ya mwisho wa mwezi unaweza kuangalia movie hizi kama upo Dar na Arusha.

Last Vegas ni moja ya movie mpya kwenye list ya movie zitakazoonyeshwa …

Millard Ayo

Pichaz za kikongwe anayedhaniwa kuwa mchawi alivyokamatwa chumbani kwa mtu akiwa mtupu.

Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina…

Millard Ayo

Sikiliza wimbo mpya wa Weusi uitwao Gere hapa.

Unaweza kuwa umewahi kulisikia kwenye taarabu neno hili Gere lakini Gere hii…

Millard Ayo

Umekisikia alichokisema Mr.blue kuhusu Director Nisher?kisikilize kupitia You heard ya leo Jan 31.

Unaweza kushangaa alichokizungumza hit maker wa wimbo wa Pesa Mr.Blue kumhusu Director…

Millard Ayo

Unataka kujua alichosema Okwi kuhusu Sakata lake lililopo sasa hivi,kipo hapa.

Baada ya headline mbalimbali zilizokuwa zikimhusisha Kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga…

Millard Ayo