Top Stories

Baraza Kuu la CHADEMA limepitisha majina matatu (+picha)

on

Katika Baraza Kuu la CHADEMA majina matatu yamepitishwa kwenye mchakato wa awali ambapo litachujwa Jina moja kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majina hayo ni Tundu Lissu, Lazaro Nyalandu na Dr. Mayrose Majinge

BALOZI WA MAREKANI AVUA BARAKOA MBELE YA RAIS MAGUFULI, MAGUFULI AMPONGEZA AANGUA KICHEKO

Soma na hizi

Tupia Comments