Michezo

Raha ya ushindi kwa Barcelona dhidi ya Juventus ilikua hivi…(Pichaz)

on

baka5

Ushindi wa jana wa Barcelona umeiwezesha kuibuka mabingwa wa Ulaya dhidi ya wapinzani wao Juventus.

Mabao ya Raktic katika kipindi cha kwanza, Luis Suarez na Neymar katika kipindi cha pili na kuhitimisha ushindi wa mabao 3-1 yaliiwezesha timu hiyo kuweka heshima katika uwanja wa Berlin, Ujerumani

Bao pekee la Moratta halikuweza kuiokoa Juventus iliyocheza mpira wa ushindani na kuipa Barcelona ushindani mkubwa.

Fainali hiyo ilikuwa ni ya kuvutia, ya ushindani na yenye ushindani mkubwa ambapo mbali ya ushindi hivi ndivyo mastaa wa Barcelona walivyosherehekea

baka

baka2

baka3

baka4

baka5

baka6

baka7

baka

 

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments