Habari za Mastaa

BASATA yaingilia kati yanayoendelea kwa wasanii sakata la Harmonize

on

Baraza la Sanaa la Taifa BASATA leo April 14,2021 limetoa tamko kutokana na yale yanayoendelea mtandaoni kuhusu wasanii wa muziki wa Bongofleva, baada ya Harmonize kuachana na  aliyekuwa mpenzi wake Mwigizaji Kajala na kupelekea kuibuka mambo mengi.

Taarida hiyo ya BASATA imeeleza juu ya kusikitishwa kwa balaza hilo kuhusu yanayoendelea kwa wasanii juu ya Lugha sizizo za stahaa, malumbano na kukashifiana huku baraza likiwataka wasanii hao ‘kuacha mara moja’.

Hata hivyo msanii Baba Levo amethibitisha kuitwa na Baraza hilo huku Harmonize amedai atawafikisha mahakamani wale wote wanaohusika kwenye kumchafua.

Bonyeza PLAY hapa chini kupata taarifa.

Soma na hizi

Tupia Comments