Mix

Uteuzi mwingine alioufanya Rais Magufuli leo July 14, 2017

on

Ijumaa July 14, 2017 Rais Magufuli amefanya uteuzi kwa kuwateua Bibi. Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi na Bibi Evelyne Mugasha kuwa Mthamini Mkuu wa Serikali.

Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. Stephen J. Nindi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi.

Uteuzi huu utaanza July 16, 2017.

“Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments