fB insta twitter

Utani wa Babu Tale baada ya kukutana na mtoto wa Puff Dady Marekani

on

Babu Tale Meneja wa star mwimbaji wa Bongo Flava, Diamond na lebel ya WCB yuko nchini Marekani ambako alikwenda kuhudhuria tuzo za BET na good news ikawa kwa Tanzania baada ya mwimbaji Rayvanny kufanikiwa kuchukua tuzo ya Viewers Choice (Best New International Act).

Akiwa Marekani Babu Tale amekutana na kupiga picha na King Combs mtoto wa rapa mkongwe, miliki wa label ya Bad Boy Entertainment na mfanyabiashara mkubwa duniani Puff Dady a.k.a Diddy na akaandika maneno haya.

>>> “Basi katika story zetu na @kingcombs nikamwambia karibu Tanzania mix kumuonyesha vivutio akajibu natamani nije ila baba mkali usione anacheka kwenye insta. We mzee @diddy acha dogo aje kuona mnyama mshika MIC”<<<< – Babu Tale

VIDEO: Diamond Platnumz amezungumza baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET? Bonyeza play kutazama hap chini.

VIDEO: Rayvanny baada ya kushinda Tuzo ya BET 2017 Marekani amekiongea hiki. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments