Breaking News

BREAKING: TAMKO LA BAVICHA BAADA YA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

on

September 9, 2017 Baraza la Vijana wa CHADEMA ‘BAVICHA’ limekutana na wanahabari na kutoa tamko baada ya Mwanasheria wa chama hicho kupigwa risasi na watu wasiojulikana katika tukio lililotokea September 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Dodoma.

Tazama kwenye hii video mwanzo mwisho!!

TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUSHAMBULIWA KWA RISASI TUNDU LISSU

Soma na hizi

Tupia Comments