Top Stories

PICHA 7: Muonekano wa baadhi ya mitaa ya Arusha kwa juu

on

Arusha ni moja miji inayotajwa kuongoza kutembelewa sana na idadi kubwa Watalii Tanzania ambao hii inatokana na uwepo wa vivutio vingi kwa Watalii hasa Mbuga na Hifadhi za Wanyama na mazingira tofauti.

Mazingira ya maeneo tofauti ya Arusha ni kivutio ambacho kimekuwa kikileta mamilioni ya Watalii toka kipindi hicho na leo nimekusogezea picha tu nilizozipiga kwenye baadhi ya mitaa lakini kwa muonekano wa juu.

”Niliambiwa kuwa niko kwenye orodha ya watu watakaotekwa” – Zitto Kabwe

Soma na hizi

Tupia Comments