Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006.
Akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com Berry Black ambaye kwasasa makazi yake yapo Dar es Salaam huku kazi zake zikiwa zinasimamiwa na Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Said Fella….’Chanzo cha kuvunjika kwa kundi letu ni kutokana na kutoelewana ndipo nikaamua niwe natoa kazi zangu siunajua ustaa ukishakuwa staa tena kwahiyo 2006 kundi likavunjika mwisho wake tabia zikabadilika kati yangu na Berry White’ – Berry Black
‘Sisi tulikuwa hatuna kiongozi tofauti na makundi mengine tulikuwa tupo tu ndio chanzo cha kuvunjika kwa kundi….na kwasasa makazi yangu nimeyaamishia Dar es Salaam na kazi zangu zinasimamiwa na Mkubwa Fella’ – Berry Black
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE