Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

TID adai kapigwa na jambazi “anaweza kufanya chochote”

on

Mwimbaji mkongwe wa Bongo Fleva Top In Dar (TID) amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram akionekana amepigwa na watu ambao amewataja kuwa ni wezi huku akidai kuwa  watu hao wanaweza fanya chochote sababu huwa wana mipango mbadala.

“Washamba Bwana Wakiona tu Unasikika wanaamua kukupiga hivi …. It’s so Sad Jambazi anaeza kukufanyia chochote sababu yeye Jambazi na Yuko na Back Up za Kijambazi #RevengeoftheNinja aliandika TID

TID hajaeleza sababu ya kufikia hatua ya kupigwa ingawa wengi wamekuwa wakidai kuwa staa huyo ni mkorofi kupita comments ambazo zimeandikwa na mashabiki wengi wameonekana kutaka kujua chanzo na wengine kumpa pole kwa kupigwa.

AUDIO: “KWANINI WASANII WENGI WA KIKE WANADANGANYA UMRI WAO” SHILOLE

Soma na hizi

Tupia Comments