Idadi ya watu waliofariki kutokana na maambukizo ya Marburg yaongezeka Rwanda
Nchini Rwanda, watu watano zaidi wameripotiwa kufariki kutokana na maambukizo hatari ya virusi vya Marburg na kufikisha idadi kamili ya waliofariki kuwa 11 kwa mujibu wa Wizara ya afya kwenye…
WHO yaonya kuhusu ongezeko la wagonjwa wa homa ya malaria nchini Ethiopia
Shirika la Afya Dunian (WHO) limeonya kuhusu hatari kubwa ya kuongezeka ugonjwa wa homa ya malaria nchini Ethiopia. Katika ripoti yake ya karibuni kabisa, shirika hilo limesema kuwa, nchi hiyo…
Iran yaishambulia Israel kwa makombora 200
Iran imetekeleza mashambulizi makubwa dhidi ya Israel kwa kutumia makombora ya balistiki zaidi ya 200 huku ikidaiwa kuwa makombora mengi yamenaswa, haswa katika anga ya Jerusalem na Tel Aviv. Jeshi…
Xi Jinping amwambia Vladimir Putin yuko tayari kukuza uhusiano kati ya China na Urusi
Katika hafla ya pongezi za viongozi China na Urusi kwa kuadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Urusi, rais wa China amemwambia mwenzake wa…
Mathias Canal achangia Mil 5 ya madawati 37 na kuunganisha umeme shule ya msingi wilayani Iramba
Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya…
Tuone aibu kuzaa mtoto na kuachishwa shule – Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha…
Bilioni 10 kutekeleza mradi wa umeme vitongoji 90 mkoani Njombe
Serikali imetenga Bilioni 10 ili kutekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) katika vitongoji 90 vya mkoa wa Njombe vitakavyohusisha vitongoji 15 katika kila jimbo la mkoa huo lenye majimbo sita.…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 2, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Ndege ya kwanza kutengenezwa Tanzania yaanza safari zake
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya…