Serikali kuanza ujenzi daraja la mkili na mitomoni Mkoani Ruvuma-Waziri Bashungwa
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye…
GSM Home, Cha Elfu 97 unauziwa kwa Elfu 10, sio Mchezo
Kampuni ya GSM kupitia Duka lake la GSM HOME Mikocheni Jijini Dar es salaam, imetangaza punguzo kubwa la bidhaa la hadi asilimia 90 kwa bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Duka…
Urusi yampandisha kizimbani mwanaume mwenye umri wa miaka 72 kesi ya mamluki wa Ukraine
Mahakama ya Moscow siku ya Ijumaa ilianza kusikiliza kesi ya mwanamume Mmarekani mwenye umri wa miaka 72 anayetuhumiwa kupigana kama mamluki nchini Ukraine, mashirika ya habari ya Urusi yaliripoti. Mahakama…
Bunge la Tunisia lapiga kura kuhusu mswada wa uchaguzi siku tisa kabla ya uchaguzi
Bunge la Tunisia lilipanga kupiga kura kuhusu marekebisho makubwa ya sheria ya uchaguzi siku ya Ijumaa, siku tisa kabla ya uchaguzi wa rais ambao makundi ya upinzani yanahofia kwamba yataimarisha…
Rais wa Urusi Vladmir Putin ametoa onyo kali kwa Marekani juu ya matumizi ya silaha za nyuklia
Rais wa Urusi Vladmir Putin ametoa onyo kali kwa Marekani na washirika wake na kusema kuwa Moscow itafikiria kutumia silaha za nyuklia iwapo Ukraine itaruhusiwa kurusha makombora ya masafa marefu…
Kupika ni kipaji kama kazi nyingine yoyote” Baba Lishe
Tamasha la chakula la Coca-Cola Tanzania maarafu kama ‘Coca-Cola Food Fest’ limezidi kunoga huku muuzaji mmoja, maarufu "Baba Lishe," akiibuka kuwa kivutio cha kipekee. Stanlaus Baron, ambaye ni muuzaji wa…
Rais Samia asisitiza umuhimu wa TEHAMA na Akili Bandia (Artificial Intelligence)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Katika hotuba yaka amesisitiza umuhimu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Akili Bandia (Artificial Intelligence) kwa maendeleo ya elimu na dunia kwa…
Picha: Rais Samia azindua Shule hii ya Sekondari Mkoani Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la…
Nay wa Mitego atimba BASATA, adaiwa makosa manne ikiwemo kukashifu mataifa mengine, afunguka
Rapper Nay wa Mitego amefika baraza la Sanaa la Taifa BASATA leo hii, baada ya kupokea wito na baada ya kufika alipewa barua iliyoainisha makosa aliyofanya kupitia wimbo wake wa…
Wananchi kufanya Party baada ya kupata maji “hatuandamani tena”
Baada ya Waziri wa Maji Jumaa Aweso kutoa mwezi mmoja kwa RUWASA Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kuhakikisha Maji yanapatikana katika Kijiji Losinyai kufuatia wananchi kuandamana na kufunga barabara wakidai…