Siku 102 baada ya kujiuzulu nafasi ya ukatibu Yanga, hii ndio klabu iliyompa nafasi ya kuwa C.E.O Tiboroha
January 23 2016 ndio siku ambayo taarifa za aliyekuwa katibu mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Dk Jonas Tiboroha aliripotiwa kujiuzulu nafasi ya ukatibu ndani ya klabu…
Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli May 04 2016
Taarifa kutoka Ikulu May 04 2016 imeeleza kuhusu uteuzi alioufanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, Rais Magufuli amemteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Asha-Rose…
VIDEO: Tamko la Serikali kuhusu kufungia video ya ‘chura’ lilivyotolewa
May 04 2016 Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo wamekutana na waandishi wa habari na kutoa tamko la kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka hapo…
Kwa sare ya Azam FC vs JKT Ruvu, Yanga sasa inahitaji point tatu kuwa Bingwa
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo May 4 2016 kwa klabu ya Azam FC kucheza mchezo wake wa 27 wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya JKT Ruvu na…
Alichoongea Shilole baada ya wimbo wa Snura ‘Chura’ kufungiwa (+Audio)
Ni Mei 4, 2016 ambapo kupitia wizara ya Habari na Utamaduni, Michezo walitoa taarifa za kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kuanzia leo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao yote ya kijamii mpaka…
Hospitali ya Amana wameweka wazi chanzo cha Binti aliyejifungua chooni….
Ni Mei 4 2016 ambapo hospitali ya rufaa ya mkoa 'Amana' leo iliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia tuhuma za kutotoa huduma sahihi kwa wananchi wanaofika hospitali hapo…
PICHAZ 6: Chelsea wametoa jezi za msimu mpya, kuivaa utahitajika kutoa zaidi ya Tsh laki 2
Baada ya jezi za msimu ujao wa 2016/2017 kwa baadhi ya timu kuonekana zikivuja katika mtandao wa 101greatgoals.com leo May 4 2016 klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonesha rasmi jezi…
Ifahamu Project mpya ya Ommy Dimpoz kwenye muziki wa Bongofleva (+Audio)
Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose, millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza 255 ya May 04 2016 kutokea Xxl yaClouds FM, stori ambazo zimepata airtime…
VIDEO: Waziri Kigwangalla kayajibu maswali haya bungeni..kelele zikasikika
Mei 4 2016 Bunge limeendelea Dodoma ikiwa ni mkutano wa tatu, kikao cha kumi na mbili ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya…
VIDEO: TOP 10 ya penati bora kuwahi kupigwa katika soka
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka duniani, mpira wa penati kabla ya kupigwa, mpigaji huwa anatajwa kupewa asilimia 75 za mpira atakaoupiga golini utaingia wavuni, lakini kuna uwezekano wa asilimia 25…