Daraja jipya la Kigamboni limeanza kutumika leo jionee hizi picha 20…
April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia Daraja jipya la kigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda upande wa pili wa kurasini Daraja la…
Picha 23 Rais Magufuli alivyozindua mradi wa barabara za juu ‘Flyover’ Dar
Leo April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa barabara ya juu 'Flyover' Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018. Lengo likiwa ni kupunguza kero…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 16 2016 kwenye,Udaku, Hardnews na michezo
April 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Habari 9 kubwa kwenye TV za Tanzania April 15 2016
Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia kinachoendelea katika taarifa za habari kupitia TV za Tanzania na ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya April 15 2016 usijali millardayo.com inakupatia fursa…
NEWS: Dayna na Yemi Alade, Navy Kenzo kwenye dili jipya na mengine
Kama kawaida kila wiki Ayo Tv huwa inakuletea stori mbalimbali za mastaa wa Tanzania, wiki hii Ayo TV imefanikiwa kukuletea exclusive stori za Dayna na Yemi Alade na kuhusu Navy…
Usijikute tu umenunua gari kwa dalali Kariakoo…(+Video)
Leo April 15 2016 Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amekaa kwenye Exclusive na Ayo TV kuelezea utapeli ambao unawapata watu wa Dar es salaam…
Video: Kinachoisubirisha sarafu ya Afrika Mashariki
April 15 2016 tumeshuhudia mwanachama mpya Sudan kusini akijiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikiwa ni miaka kadhaa imepita tangu marais waliokuwepo kipindi hicho walisaini itifaki ya kutumia sarafu…
Picha 14: Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir alivyowasili Dar na kutia saini mkataba wa kujiunga na EAC
April 15 2016 Rais wa Sudan Kusin Salva Kiir amewasili nchini na kukutana na mwenyeji wake Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Salva Kiir ametia…
Picha 5: Aliyemtukana Rais magufuli facebook kafikishwa mahakamani leo
Kwa taarifa zaidi kuhusu kijana aliyemtukana Rais Magufuli facebook kufikishwa mahakamani, endelea kufuatilia millardayo.com na sikiliza Amplifaya ya Clouds FM saa 1 jioni. ULIKOSA KUMTAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KUTENGUA UKUU…
Yamenifikia majibu ya droo ya nusu fainali ya UEFA Europa League 2016
Najua tayari umepata majibu ya droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ila UEFA wametoa tena majibu ya droo ya UEFA Europa league iliyokuwa inahusisha timu za Liverpool, Villarreal,…