PICHA 2: Gardner G. Habash.. April 3 mkataba mpya CloudsFM , April 9 gari jipya !
Wiki hii habari ya town ni Mtangazaji hodari Gardner G. Habash kurejea kutangaza CloudsFM aliyoacha kuifanyia kazi December mwaka 2010 ambapo baada ya shangwe za kurejea kwake mjengoni, good news zimeendelea.…
Kama una ndoto za kusoma chuo nje, hii ni Top 20 ya vyuo vikuu vipya bora duniani 2016 (+Pichaz)
Kuna list kubwa ya watanzania ambao wapo nje ya nchi kwa ajili ya elimu ya juu pia nina watu wangu wa nguvu ambao wana ndoto hizo. April 8 2016, Forbes kupitia…
Idris Sultan kahojiwa Kenya kuhusu Wema Sepetu na ile video iliyosambaa.
Kumekua na stori zinaendelea mitandaoni na hasa ni baada ya Mwigizaji Wema Sepetu aliyekaa sana kwenye vichwa vya habari hivi karibuni kwa kuwa mapenzini na mshindi wa shindano la Big…
Full Time ya Yanga vs AlAhly uwanja wa taifa Dsm April 9 2016
Ni mechi nyingine kati ya mechi zilizotazamwa sana au zilizosubiriwa sana na mashabiki wa Tanzania ambapo Yanga walikutana na AlAhly kwenye muendelezo wa headlines za CAF, game ikapigwa uwanja wa…
Mtanzania kauwawa Marekani…. inaaminika muuaji kamshambulia ndani ya gari lake
Watanzania waishio Marekani juzi waliamka na habari zilizowashitua kuhusu kuuawa kwa mwenzao katika jiji la Houston Texas Marekani aitwae Henry Kiherile ambapo Polisi Marekani inaendelea kulichunguza tukio. Kitengo cha upelelezi wa mauaji idara ya Polisi Houston…
Ulikua mbali na TV? Full Time ya Westham vs Arsenal ninayo hapa
Ni game ambayo imechezwa mchana wa April 9 2016 na kama ulikua mbali na TV matokeo ndio kama ifuatavyo.... nimekuwekea hapa chini na Wafungaji. ULILIKOSA GOLI LA SAMATTA UBELGIJI JANA…
Rais Shein ametangaza Baraza la Mawaziri, wamo watatu wa upande wa upinzani
April 9 2016 Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein ametangaza Baraza la Mawaziri lenye Mawaziri 13 na Manaibu waziri 7 ambapo watatu wametoka upande wa upinzani…
AUDIO: Maelezo ya dakika 5 Mjomba aelezea dakika za mwisho kabla Ndanda Kosovo hajafariki
April 9 2016 zilitangazwa taarifa za kifo cha mwimbaji wa siku nyingi kwenye muziki wa dance Tanzania Ndanda Kosovo ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu hospitali ya Muhimbili Dar es salaam,…
MSIBA: Muziki wa dance Tanzania umepata msiba, R.I.P Ndanda Kosovo
Mkali wa muziki wa dansi aliyefanya vizuri akiwa na bendi ya FM Academia na Stono Musica, Ndanda Kosovo ambaye alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo ambapo alilazwa katika hospitali ya…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 9 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…