Skendo ya wanajeshi wa JWTZ Congo, yazungumziwa na makao makuu
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) chini ya Umoja wa Mataifa limekuwa likitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa takribani miaka mitatu. Siku…
Video 10 kali Afrika kutoka Trace TV wiki hii, East Africa ziko 4 tu April 7 2016…
Kama wewe ni mpenzi wa burudani utataka kujua ni nyimbo gani kali zinazofanya vizuri Africa, April 7 2016 Trace TV wametuletea list ya ngoma kumi kali kutoka Afrika kupitia chat zao…
Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania April 7 2016
Kama hukupata time ya kutazama Taarifa ya Habari kupitia TV za Tanzania April 7 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama habari 5 kubwa zilizosomwa kwenye TV za Tanzania. Habari kutoka Channel 10...Mazingira Duni Shule…
BREAKING: Maamuzi ya mwisho kwenye kesi ya Mabula na Wenje yametangazwa leo
Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje (CHADEMA) dhidi ya Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM) ilikuwa ikiendelea…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 8 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 8 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Jurgen Klopp hakufanikiwa kuondoka na ushindi Signal Iduna Park dhidi ya Dortmund (+Video)
Siku moja imepita toka michezo ya robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA ichezwe, usiku April 7 2016 michezo ya robo fainali ya Europa Ligi ambayo zamani…
Ni miaka minne toka kifo cha Kanumba, haya ni mahojiano na mama yake
Bado kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa msanii wa filamu za maigizo Tanzania Steven Charles Kanumba kipo akilini mwa watanzania wengi hususani familia yake ambayo kila ifikapo April 7 hufanya ibada…
Sasa hivi sio wewe kuwafata TANESCO wakuunganishie Umeme, ni wao ndio wanatakiwa kukufata
Awamu ya tano ya Rais Magufuli imeambatana na maamuzi mapya au yaliyoongezewa ubunifu na nguvu kubwa ya ufatiliaji ambapo kwenye wizara ya nishati boss Profesa Muhongo cheo chake kikiwa ni…
VIDEO: Rais Magufuli alivyotua Dar kwa ndege ya Rais akitokea Rwanda
President John Pombe Magufuli wa Tanzania alikwenda kwenye nchi ya Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 ambapo alimaliza ziara yake na kurudi nyumbani Tanzania April 7…
Rais Magufuli kaeleza kwanini hapendi sana kusafiri nje ya nchi
Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa…