Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 7 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Wolfsburg wameikatisha furaha ya Ronaldo iliyomfanya ashangilie akiwa kavaa nguo ya ndani
Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 6 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya Real Madrid ya Hispania ililazimika kusafiri kutoka Hispania…
Picha ya Diamond Platnumz inayo-trend sana mitandaoni, Nay wa Mitego hakutaka impite
Staa mwenye jina zito kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Diamond Platnumz bado jina lake limekuwa gumu kukauka midomoni mwa watu, hii inatokana na uwezo wake mkubwa wa kuimba pamoja na…
Mashabiki wa Yanga na Simba kwa pamoja leo walisherekea matokeo haya ya Azam FC dhidi ya Ndanda FC
Michezo ya viporo ya Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kupunguzwa kwa upande wa klabu ya Azam FC ya Mbande Chamazi, Azam FC leo April 6 2016 imecheza mchezo wake…
Jokate yuko busy na biashara, hatoonekana kwenye media na kuna hii ishu hata akiulizwa hatojibu
Pamoja na kuzungumzia ishu yake ya kupostiwa kwenye account ya Instagram ya mwigizaji na mwimbaji wa longtime wa Marekani Tyrese, Jokate amesema 'hivi karibuni nimekua siongei sana na Media nimekua…
PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Rusumo
Ni safari ya kwanza ya nje ya nchi kwa Rais Magufuli toka alipoteuliwa kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania October 2015, kasafiri kwa gari kwenda Rwanda ambapo kwenye…
Unakumbuka ujenzi wa gorofa la mamilioni chini ya kiwango Dsm? Mwanasiasa amefikishwa Mahakamani leo
Ujenzi wa majengo ya ghorofa yaliyo chini ya kiwango yaliripotiwa katika jiji la Dar es salaam miaka ya nyuma iliyopita ambapo kariakoo kulikuwa na ghorofa 64, taarifa nyingine ilikuwa ni…
Kwa mnaosubiri mechi ya Yanga vs Al Ahly ya Misri, kuna taarifa nyingine hapa
Uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young Africans leo April 6 kupitia kwa afisa habari wake Jerry Muro ameongea na vyombo vya habari na kuelezea taarifa za mchezo wao wa klabu…
Kauli ya Simba kuhusu golikipa wao kufungiwa miaka 10 kucheza soka na TFF
Bado headlines za uongozi wa klabu ya Simba kuendelea kueleza hisia zao za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF na bodi ya Ligi jinsi wanavyopanga ratiba ya Ligi Kuu…
VIDEO: Maua asimulia alivyofukuzwa na mwenye nyumba wakati anaanza kuishi Dar
Kutana na Maua, mwimbaji wa bongofleva mmiliki wa hit single 'mahaba niue' ambayo ilishika nafasi ya kwanza kwenye CloudsFM Top 20 March 2016, kwenye hii video hapa chini anatuelezea moja…