Idara ya muziki KissFM /TV Kenya imetoa majina 6 ya Wasanii wa bongofleva wanaotamba sana kwao
Tuna uhakika muziki wa bongofleva una nguvu na unachezwa sana kwenye Radio na TV za Kenya lakini tukisikia kutoka kwa wenye media wenyewe ndio inakua fresh zaidi ndio maana nakukutanisha…
MpyaMpya: Zile nyimbo za Uganda zenye maneno machache ya Kiswahili – Winnie Nwagi ‘musawo’ (Video)
Hapo Uganda kumekuwa na waimbaji wakali kama Aziz Azion ambao walifanikiwa kuvuka boda vizuri na kuwafikia Watanzania wengi kwasababu walichanganya kiswahili kidogo kwenye nyimbo zao, February 2016 iliachiwa hii video…
FULL STORY: Mkuu wa wilaya alivyowapeleka Polisi Watangazaji waliomuigiza Redioni siku ya Wajinga
Siku ya kwanza ya mwezi April kila mwaka huwa ni siku ya Wajinga duniani na kila mmoja anaeifahamu hii siku huwa anazishtukia baadhi ya habari na wengine huwa wanaifanyia mzaha…
Vanessa Mdee analipwa kila muziki wake unapochezwa kwenye Radio na TV yoyote South Africa
Kwenye dunia ya sasa Wasanii wa muziki pia wanayo nafasi ya kulipwa au kujiingizia pesa kutokana na vyanzo mbalimbali na hiyo yote ni kutokana na muziki wao ndio maana sio…
Augustino Mrema kapatikana, kaongea kwa mara ya kwanza toka kesi na Mbatia imalizwe… zile milioni 40 je?
Mahakama kuu kanda ya Moshi Kilimanjaro imeridhia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Mbunge wa Vunjo James Mbatia (NCCR) na aliyekua mbunge wa jimbo hilo Agustino Mrema hivyo Mahakama chini ya jaji anayekua anasikiliza…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 6 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
AUDIO: Msikilize Gardner baada ya kurudi CloudsFM ‘haijalishi ni kiasi gani umepoteza ulichokistahili…..’
Habari ya town kuanzia April 5 2016 ni ya mtangazaji Gardner G. Habash kutangaza kurejea kwenye Radio aliyoacha kuifanyia kazi December 2010 ambapo amepata mapokezi makubwa kuanzia kwa Wasikilizaji mpaka…
FC Barcelona hawajakubali kufungwa mara mbili mfululizo Nou Camp, huu ndio ushindi wao dhidi ya Atletico
Michezo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya ilichezwa usiku wa April 5 2016 katika viwanja vya Nou Camp ulizikutanisha timu za FC Barcelona dhidi ya Atletico…
Tanzania imechukua ushindi dhidi ya Misri leo April 5 2016
Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys April 5 2016 ilileta faraja kwa watanzania, baada ya kuendeleza umahiri wake wa…
EXCLUSIVE: Baada ya kurudi CloudsFM Gardner G. Habash kaongea haya matano.. aliwahi kutamani kurudi Clouds?
KIKUBWA ULICHOMIS CLOUDS UKIWA NJE: Niliimis Clouds kama familia lakini pia nilimiss sana ile hali ya kuwa nafanya matamasha na Clouds kwa mfano tamasha kubwa kama la FIESTA ni tamasha…