TRACE TV imesema hizi ndio video 10 bora za Afrika kwa wiki hii, zenye Watanzania ni 4!
Headlines za Tanzania zinazidi kuwa nyingi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho Wasanii wengi wamekua wakililia au kutamani video zao zionyeshwe hapo kutokana na ukubwa wa Station hiyo na…
Hatimae Rais Magufuli ataja kiwango cha pesa anacholipwa kama mshahara wa Rais Tanzania
Baada ya baadhi ya Wabunge wa vyama vya upinzani Tanzania kumtaka Rais Magufuli kuanika hadharani mshahara wake pamoja na makato ya kodi, President Magufuli ambaye ni Rais wa awamu ya tano…
Kamishna Mkuu wa zamani TRA Mahakamani na wengine Wawili
Mwaka 2012-2013 Serikali ya Tanzania ilikopa Dola za kimarekani milioni 600 (zaidi ya bilioni 13) kutoka benki ya Standard ya Uingereza kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa makubaliano…
Ulietazama movie ya London has Fallen, nimekuletea video jinsi ilivyotengenezwa (behind the scenes)
Ni moja ya movie bora toka mwaka 2016 umeanza, Mlinzi wa Rais wa Marekani mwenye ujuzi wa hali ya juu ambaye alipigana kwa saa kadhaa mpaka kufanikiwa kumuondoa Rais chini…
EXCLUSIVE: Picha 5 za ujenzi wa kisasa unaoendelea uwanja wa ndege Dar, jengo jipya litavyokuwa (Terminal 3 )
March 31 2016 millardayo.com ilipata kibali cha kupiga picha ujenzi unaoendelea wa kupanua uwanja na kujenga jengo jipya kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam, naambiwa huu uwanja unategemewa kukamilika December 2017 na sasa…
Wiki hii Rais Magufuli alinawa mikono na kula na watu mgahawani Mwanza, najua wengi hamkuiona hii video
Ni safari yake ya kwanza kwenda nyumbani kwao Chato ambapo alishuka kwenye uwanja wa ndege Mwanza na kabla hajaondoka kwenye eneo la uwanja akatoa shilingi laki moja kununulia Wananchi soda…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 1 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
PICHA 7: Wabunge watolewa nje ya Bunge Kenya baada ya kupiga filimbi Rais akihutubia
Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge baadhi ya Wabunge walianza kupiga filimbi na zikasababisha kelele nyingi mpaka Spika kulazimika kumuomba Rais asiendelee mpaka awatoe kwanza Wabunge hao saba…
Nimeipata video, Wabunge 7 watolewa nje ya bunge Kenya baada ya kupiga filimbi Rais Uhuru akihutubia
March 31 2016 miongono mwa habari kubwa za siku nchini Kenya ni Wabunge wa Upinzani kupiga filimbi sekunde chache tu baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge la nchi…
Ushindi wa Yanga vs Ndanda FC March 31 2016 umeiingiza kwenye nusu fainali
March 31 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans inayojiandaa na mchezo wake wa klabu Bingwa barani Afrika dhidi ya klabu ya Al Ahly ya Misri, ilishuka dimbani kucheza mchezo…