Video ikionyesha Wabunge watatu wa CCM walivyofikishwa Mahakamani Dsm leo, TAKUKURU yaongea kwa ufupi
March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero…
MPYA: Baada ya MCC, hawa ni wengine waliotangaza kusitisha misaada kwa Tanzania kisa uchaguzi wa Znz
March 29 2016 bodi ya shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC) ilisitisha msaada wa awamu ya pili wa kutoa zaidi Trilioni 1.4 kwa Tanzania kutokana na kile lilichosema kuwa ni kufanyika…
Wabunge watatu wa CCM waliofikishwa Mahakamani Dsm wapata dhamana, ilianzaje?
March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero…
Majibu ya REA baada ya MCC kukatisha msaada wa TRILIONI 1 kwa Tanzania
Siku kadhaa zilizopita bodi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC) ilisitisha msaada wa awamu ya pili wa kutoa zaidi Trilioni 1.4 kwa Tanzania kutokana na kile lilichosema kuwa ni…
VIDEO: Mdundo mwingine mkubwa kwenye TV za burudani duniani sasa hivi ‘work from home’ kwenye 15 bora
Kama unafatilia muziki wa kizazi cha sasa duniani unaweza kuwa umeshakutana nayo lakini kama hujakutana na hii, nakufahamisha wanaitwa Fifth Harmony na single wamemshirikisha Ty Dolla $ign na ni moja…
Ruge ajibu maswali ya PB CloudsFM, mafanikio ya kampeni, Fiesta 2016 na mengine (+Audio)
March 31 2016 Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alikaa kwenye meza ya Power Breakfast Clouds FM kuongelea mambo mengi yakiwemo mafanikio ya Clouds Media Group (CMG) na kampeni…
Vodacom wamempa Shomary Kapombe milioni moja yake tayari !!
Mchezaji wa timu ya Azam FC Shomary Kapombe jana amekabidhiwa shilingi Milioni 1/ kutokana na kutajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi January 2016 kwenye ligi ya soka ya VPL inayoendelea…
BREAKING: Wabunge watatu wa CCM wafikishwa Mahakamani Dar es salaam
Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es salaam mchana wa March 31 2016 kwa tuhuma za rushwa, Victor Mwambalaswa wa Lupa (CCM), Kangi Lugola wa Mwibara (CCM) na Sadiq Murad wa…
EXCLUSIVE: Rachel Kizunguzungu amrudia Mungu… ni baada ya yote aliyofanya na kupitia
Mwimbaji Rachel ambaye ujazo wa jina lake uliongezeka baada ya kujiunga na nyumba ya vipaji Tanzania (THT) na kuanza kuachia nyimbo zake, amekaa kwenye Excluvie na mtangazaji wa Amplifaya ya…
Mambo matano ya kufahamu kuhusu Daraja la Kigamboni Dsm kabla ya kuanza kutumika siku 16 zijazo
Ujenzi wa daraja la Kigamboni ambalo linapita juu ya bahari ya hindi Dar es salaam kuwezesha wanaokwenda na kutoka Kigamboni kuvuka kwa urahisi bahari bila kutumia Pantoni, umekamilika kwa asilimia…