Wanafunzi washindwe wenyewe, Faraja Nyalandu kawawezesha kujisomea hata kwa SMS
Faraja Nyalandu ni mrembo wa Kitanzania ambae uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kushiriki kwenye shindano la Miss Tanzania 2004, ambapo kipindi cha karibuni uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kuanzisha…
EXCLUSIVE VIDEO: Maswali Diamond Platnumz hataki kuulizwa kwenye vyombo vya habari mwaka 2016
Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive OnAiRwithMillardAyo na kuelezea ishu mbalimbali ikiwemo kuvisema vitu ambavyo hataki kuulizwa kwenye Interview yoyote ya MEDIA mwaka 2016, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 31 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 31 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Mtanzania Samatta anacheza soka Ubelgiji, hivi ndivyo viwango vya mishahara vya wachezaji wa Ligi yao
Najua unatamani kujua maisha ya wanasoka wa Ubelgiji hususani katika kipindi hiki anachocheza soka mtanzania Mbwana Samatta nchini humo, kiukweli mshahara wa Samatta haupo wazi katika vyombo vya habari, ila…
Kama utaenda Club basi hii ndio style inayobamba kwa sasa…(+Video)
Najua nina watu wangu ambao hampendi kupitwa na chochote sasa kama ulikuwa na hamu ya kufahamu style ya kucheza inayochukua headlines kwa sasa kwenye ma club na sehemu mbalimbali basi nimekusogezea…
Imenifikia list ya viwanja 9 vya ndege hatari duniani (+Video)
Najua na watu wangu wa nguvu ambao shughuli na kazi zao huwalazimu kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga, kama wewe ni mmoja kati ya wale watu wanaosafiri sana na ndege kutoka…
Pichaz za mastaa watano duniani wanaomiliki gari la kifahari analotaka kununua Diamond Platnumz 2016
Siku zinazidi kusogea toka mwaka 2016 uingie, robo ya mwaka tumeshaimaliza ila February 1 2016 msanii Diamond Platnumz akiwa katika exclusive interview na Millard Ayo alithibitisha kuwa mwaka 2016 atanunua gari la kifahari aina…
Video 8 za Watanzania zilizochezwa TraceURBAN & MTV BASE March 30 2016
Ni jambo la kheri kujua ni kiasi gani Watanzania wanazichukua headlines kwenye Television za kimataifa ambazo miaka kadhaa iliyopita zilikua zikicheza tu kwa sana video za wasanii wa Nigeria na wasanii…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March30 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 29 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Tanzania shughuli tunayo June 4 na September 3
Siku zinazidi kusogea na matumaini ya Tanzania yanazidi kupungua kuhusu safari ya Gabon mwaka 2017 katika michuano ya mataifa ya Afrika. Baada ya timu ya taifa ya Chad kujiondoa katika…