VideoMPYA: Fat Joe na Remy Ma wamerudi baada ya miaka na hii ‘all the way up’
Wanaoufatilia muziki wa Hiphop toka kitambo hicho watakumbuka jinsi walivyoruka na hit single ya 'Lean Back' humo ndani wakiwemo Remy Ma na Fat Joe alafu baadae wawili hawa wakagombana kisha Remy…
Mvutano wa Tanzania na Kenya kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda umezungumziwa
Wakati Ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi bandari ya Tanga ukitarajiwa kuanza baada ya hatua mbalimbali za mazungumzo kukamilika, taarifa zilizotoka March 28 2016 ni kwamba huu…
Mbeya City imezungumza baada ya taarifa za Juma Kaseja kusambazwa leo
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na…
Single mpya ya Vanessa Mdee ‘niroge’ tayari imepokelewa TRACE URBAN
March 28 2016 single mpya ya ‘Niroge' ya mwimbaji Mtanzania Vanessa Mdee umegongwa kama starter kwenye Television ya Ufaransa Trace TV ambayo matangazo yake yamekua yakionekana Afrika, video hii mpya iliwekwa kwenye mtandao wa YouTUBE March 24…
Pichaz 18 kutoka Easter Gold Sensation ilivyotekwa na mikono ya DJ Hypnotiq kutoka Kenya
Siku ya sikukuu ya Pasaka najua watu wangu wa nguvu mligawanyika katika viwanja tofauti tofauti, ila millardayo.com ilipata nafasi ya kufanya coverage ya party ya Easter Gold Sensation iliyofanyika Rhapsody's…
Hakikisha huzikosi hizi Top 10 ya #TWEETS zilizopewa uzito kwenye magazeti leo March 28 2016…
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/714312763728855040 https://twitter.com/millardayo/status/714315660382363648 https://twitter.com/millardayo/status/714317197557030912 https://twitter.com/millardayo/status/714319656488681472 https://twitter.com/millardayo/status/714322241106874368 https://twitter.com/millardayo/status/714340416481525760…
Nakukutanisha na picha 16 za Zero Effect namna kilivyohapen Mtwara..
Dj Zero kutoka XXL ya Clouds Fm wikiendi iliyopita kwenye mkesha wa Pasaka March 16 aliwakutanisha wakali kadhaa wa Bongo Fleva kwenye stage ya Makonde Beach Mtwara kwenye show aliyoipa…
Ninazo picha 15 za Mwanza kilivyo happen kwenye Instagram Party….
Usiku wa tarehe 27, ulipambwa na Show ya Instagram Party kwa upande wa Mwanza 88.1, mastaa kadhaa wa Tanzania walikuwepo kunogesha Party kutoka Bongo movie Wema Sepetu, alikuwepo na kundi…
MC PiliPili alivyokutana na watu wake kwenye Stand Up Comedy Mwanza…(+Pichaz)
Kwenye tafiti zilizowahi kufanyika wataalamu wanasema Binadamu akiwa na furaha anaongeza siku za kuishi, Watu wangu wa Mwanza usiku wa jana walitembelewa na mchekeshaji maarufu MC PiliPili unaambiwa watu walishika…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 28 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…