Pichaz 20: Kutoka Mwanza kwenye Kamatia Chini Lights UP Tour ya Navy Kenzo
Baada ya wiki iliyopita kukinukisha ndani ya Club 71 Dar, Usiku wa March 25 kundi la Navy Kenzo, linaloundwa na wawili ambao ni Aika na Nahreel, liliendelea na Kamatia Chini Lights UP Tour, time…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 26 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Picha 10: za ajali nyingine iliyotokea Kimara Dar es salaam usiku wa March 25
Ikiwa zimepita wiki mbili tangu kutokea kwa ajali Kimara Dar es salaam, Usiku wa kuamkia March 25 kumetokea ajali nyingine Kimara Baruti ambapo basi la Princes Muro lenye usajili namba…
Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania March 25 2016
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 25 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka Clouds TV...Makonda Aomba Baraka Za…
Mtanzania mfungwa ampigia simu Millard Ayo akiwa ndani ya gereza Macau China..(+Audio)
Mtanzania aliyefungwa gerezani China ambaye jina lake limehifadhiwa, kutoka ndani ya gereza alilofungwa huko Macau China amempigia simu Mtangazaji na Mwandishi wa habari Millard Ayo na kuelezea maisha ya gerezani, jinsi…
Mfahamu Mtanzania anayecheza soka Uingereza aliyekuja kuitumikia Taifa Stars (+Video)
Adi Yussuf ni mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili Uingereza kwenye klabu ya Mansfield Town. Adi pia amekulia katika klabu ya Leicester City ila kwa…
Misri wametoka salama Nigeria, kazi imebakia kwa Taifa Stars Septemba 2 2016
Bado kivumbi cha mataifa ya Afrika kuendelea kuwania nafasi ya kuelekea fainali za AFCON 2017 Gabon kinaendelea, March 25 2016 hatua ya Makundi ya kuwania kufuzu michuano hiyo iliendelea kama kawaida.…
VIDEO: Maamuzi ya Paul Makonda yamesababisha hii barabara kufikia hapa….
March 11 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya ziara ya kutembelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kujionea kero za uharibifu wa miundombinu ikiwepo barabara na…
Usitarajie kumuona Ibrahimovic Man United kama mambo yataendelea kuwa hivi …
March 25 starsport wamerudisha jina la Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines za kutaka kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa. Jina la Zlatan safari…
Wachezaji wanne wa FC Barcelona wanaoongoza kwa kuchelewa mazoezini, hii ndio faini yao
Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na utamaduni wa kuheshimu muda, lengo la Enrique ni…