VideoMPYA: Uko tayari kwa Yemi Alade? kaachia hii ‘Ferrari’ itazame hapa
Baada ya kufanya vizuri katika Hit single ya 'Na Gode' Staa kutoka Nigeria Yemi Alade ametualika tena kuutazama mdundo wake mpya 'Ferrari' leo March 25 2016, ukishaitazama pia usiache kutoa comment yako umeionaje. https://www.youtube.com/watch?v=2Bj7F6p6kQU…
Picha 15: Barabara ya Mwananyamala Dar, imefikia hapa baada ya RC Makonda kutoa siku 14 za adhabu
Siku ya March 11 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya ziara ya kutembelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kujionea kero za uharibifu wa miundombinu ikiwepo…
Kwa saa moja pekee watu 180 hufariki, hii ndio sababu..(+Video)
Kila tarehe 24, March 2016 dunia huadhimisha siku ya ugonjwa wa kifua kikuu, Siku hii ni maalum kwa ajili ya kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa…
Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 25 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa…
Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimekuwekea hapa
Batman Vs Superman ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii. Cheki trailer yake hapa na…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 25 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
March 25 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kubwa leo ni pamoja na hizi Zitto, Bashe nao watua Takukuru, nikuhusu…
Prof Magembe kasimamisha watano, RPC Kilimanjaro anasemaje? (+Audio)
Baada ya waziri wa maliasili na utalii Prof Jumanne Magembe kutangaza kuwasimamisha kazi Mkurugenzi msimamizi wa wanyama pori Charles Mulokozi na wengine wanne, kwa kutuhumiwa kutoa vibali vya kusafirisha wanayama…
Video ya mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar, Mkwasa na Samatta wameongea haya
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar Es Salaam ikitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 25 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Hizi ni Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya March 25
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Stars waliwasili Dar Es…