Ni kweli Rais Magufuli kawapunguzia Ulinzi wastaafu Jakaya Kikwete na Mkapa? ninayo hii kutoka IKULU
Kwenye Gazeti la JamboLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 March 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho "Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu" Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa wa nne…
Exclusive: Chege na kilichotokea alivyokutana na Juma Nature, Sweety Sweety na waliogombana South Africa
Chege ambaye ni staa wa single number 1 CloudsFM Top20 March 13 2016 alikaa kwenye OnAIRwithMillardAyo na kueleza mambo kadhaa ambayo Watanzania hawakuwa wameyasikia kutoka kwake, kaongelea BEEF ambayo wengi waliamini iko kati…
Watu wasiojulikana wamerusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Zanzibar…
March 15 2016 kituo cha ITV kimeripoti taarifa kutoka visiwani Zanzibar ambapo inadaiwa kuwa na taarifa za watu wasiojulikana kurusha bomu nyumbani kwa Mkuu wa Polisi Visiwani Zanzibar eneo la…
Nyingine mpya kutoka kwa Tinashe ‘Bullet’ imenifikia iko hapa..(+Audio)
Baada ya kuendelea kukaa kwenye headlines nchini Marekani na single yake iitwayo Player aliyomshirikisha Chris Brown hii ni mpya kutoka kwa mrembo Tinashe Bullet. chini ya maproducer Metro Boomin na Mike…
Muendelezo wa Hekaheka ya March 14 kutoka Tanga…(Hekaheka +Audio)
March 14 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, kulitokea hekaheka kutoka Mji wa Tanga hii ni baada ya ndugu kuchanganya Maiti katika Hospitali ya Bombo, Tanga, sasa leo Geah Habib amefika Tanga…
Baraka Da Prince kaeleza sababu iliyopelekea kutofanyika kwa collabo mbili ikiwemo ya staa wa nigeria
Najua nina watu wangu ambao mnafuatilia muziki wa Baraka Da Prince kama unakumbuka mwaka jana aliwahi kufunguka kwenye vyombo mbalimbali kuhusu kufanya collabo na staa Eddy Kenzo wa Uganda na…
Mabibi na Mabwana Ben Pol katuletea hii official remix ya Nitafanyaje akiwa amemshirikisha mnigeria
Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol anazimiliki headlines za Tanzania kwa kutoa official remix ya wimbo wake NITAFANYAJE ambao amewashirikisha VJ Adam kutoka Nigeria na G nako Isikilize hapa mtu…
PICHA 15 kutokea Ikulu Dar, Rais Magufuli kawaambia wakuu wapya wa Mikoa wajiandae kuwajibishwa wasipowajibika
March 13 2016, Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa Mikoa 26 Tanzania bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwakatika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo…
Waziri Muhongo kaelezea kuhusiana na Gesi iliyopatikana Ruvu
Kugundulika kwa gesi nchini kumezidi kuchukua headlines, Mnamo February 24 Serikali ilikuja na habari mpya kuwa gesi imegunduliwa katika bonde la Ruvu mkoani Pwani. Leo March 15 2016 Waziri wa…
Bumbuli ina miti hii ambayo Mizizi yake inaota kwenda Juu kama Ukuta..
Vipo vitu ambavyo ukivisikia unakua na maswali mengi sana kichwani,katika vitu ambavyo nimekutana navyo ni pamoja na hii ya Mizizi kuota kuelekea juu kama ukuta sio chini tena kama ambavyo…