Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa
Azam FC na Yanga March 5 2016 zilicheza mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu na kutoka sare ya goli 2-2. Huu ni mchezo wa 16 kwa Yanga…
Muonekano wa mastaa kabla na baada ya tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016….(+Pichaz)
Usiku wa March 5 2016 kulifanyika utoaji wa tuzo za Africa Magic Viewer's Choice Awards 2016, Tuzo ambazo zinatolewa kwa ajili ya waigizaji na tukio hilo lilifanyika Lagos, Nigeria nakuudhuriwa na mastaa…
Kwa mara ya kwanza Mbwana Samatta kashuhudia kipigo cha timu yake dhidi ya Standard de Liege
Usiku wa March 5 Ligi Kuu ya Ubelgiji nchi ambayo inaongoza kwa viwango vya ubora wa soka duniani imeendelea kama kawaida kwa klabu ya KRC Genk inayochezewa na nahodha wa…
Good news: Tanzania imechukua tuzo mbili usiku wa leo Lagos, Nigeria Africa Magic Awards 2016
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer's Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba alikuwa mmoja kati…
‘Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar, tutadai kumpata Meya’;-Freeman Mbowe (+Video)
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri…
Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo hapa, kule Bocco huku Ngoma watupia nyavuni
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa…
Picha 15 Waziri Nape Nnauye alivyousindikiza uzinduzi wa ‘Sizonje’ ya Mrisho Mpoto
March 5 2016 Staa wa kugani mashairi bongo Mrisho Mpoto alizindua rasmi video ya mdundo wake mpya aliomshirikisha Banana Zoro na kuupa jina la 'Sizonje', katika kuhakikisha support inakuwa kubwa…
Baada ya uchaguzi wa Meya Dar kuahirishwa mara kadhaa CHADEMA wameyatamka haya
Uchaguzi wa Meya Dar es salaam unazidi kuchukua headline kila siku. Ikiwa jana tu Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa walitinga ofisi ya Halmashauri ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi…
VIDEO MPYA: Mrisho Mpoto kaachia video ya ‘Sizonje’ aliyomshirikisha Banana Zorro nimekuwekea hapa
Mkali wa nyimbo za asili na mashairi Mrisho Mpoto amechilia Video yake leo March 5 2016 inaitwa 'Sizonje' ambayo kamshirikisha Banana Zoro. Unaweza kuitazama na ukishaitazama hii video unaweza kuacha comment umeionaje idea au…
Kama uliikosa ‘Kamatia Chini Lights Up Tour’ ya Rhapsody’s, kuna pichaz 18 hapa
Mtu wangu wa nguvu kama mpenzi wa burudani na kuparty "Kamatia Chini Lights Up Tour" ya Navy Kenzo iliendelea usiku wa March 4, time hii ilikuwa pande za Rhapsody's Navy…