Video ya Man City walivyoibuka Mabingwa wa Capital One kwa mikwaju ya penati dhidi ya Liverpool
February 28 michezo migi ilipigwa Uingereza, lakini ukiachana na michezo ya Ligi Kuu Uingereza bado burudani kubwa ya soka ilikuwa ni katika mchezo wa fainali ya mechi ya Kombe la…
Video ya magoli ya Simba Vs Singida United FA Cup, Full Time 5-1
February 28 klabu ya Simba ilicheza hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la FA dhidi ya klabu ya Singida United, Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 5-1,…
Tazama goli la kwanza la Samatta lililoipa point tatu muhimu KRC Genk dhidi ya vinara wa Ligi leo
Jumapili ya February 28 Ligi Kuu Ubelgiji iliendelea tena kwa klabu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta kushuka katika uwanja wake wa nyumbani Cristal Arena kucheza mchezo wake…
Simba yatinga robo fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa idadi hii ya goli Singida United.
Jumapili ya February 28 Kombe la FA Tanzania liliendelea kwa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa 16 bora dhidi ya klabu ya Singida United…
VIDEO: Isikupite hii ya Dc Makonda kuhusu Walimu Dar kupanda daladala bure
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa kushirikiana na wamiliki wa vyombo vya usafiri Dar es salaam wametangaza kuanzisha mpango wa kuwasaidia Walimu wa Shule za Serikali kwa kuwapatia…
Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimeuwekea hapa
Utafanyaje pale mtoto wako kalazwa Hospitali na huna pesa? umepewa saa tu kutoa hela hayo mamilioni lasivyo atafariki? hii imemuangukia jamaa aliyekua anafanya kazi kwa Boss mmoja katili... akanyimwa pesa…
DC Makonda amekuja na nyingine… sasa Walimu wa Dar es salaam kupanda daladala bure
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa kushirikiana na wamiliki wa vyombo vya usafiri Dar es salaam wametangaza kuanzisha mpango wa kuwasaidia Walimu wa Shule za Serikali kwa kuwapatia…
Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City
Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo,…
VIDEO: Jinsi Meli mpya zinavyoingizwa kwenye maji kwa mara ya kwanza
Kazi ya millardayo.com sio kukupatia tu stori za watu maarufu au matukio makubwa ya kila siku, time nyingine pia nakusogezea vitu kama hivi, tazama hii video hapa chini kujionea Meli…
Rais Magufuli kasafiri kwenda Arusha.. info nilizonazo ni hizi
President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshafika Arusha tayari kwa ajili ya kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.…