Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 28 2016 kwenye, hardnews na michezo
February 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Kama ilikupita: Hili ndio swali gumu Samatta kujibu, hajawahi kula ugali hata siku moja Ubelgiji kisa? (+Video)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye hivi karibuni aliteuliwa na kocha wa timu ya taifa ya Tanzania kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, yupo mji…
Habari sita kubwa kwenye TV za Tanzania Feb 27 2016….
Februry 27 2016 millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia habari 6 za siku kupitia vituo mbalimbali vya TV Tanzania. Habari kutoka kituo cha channel 10 Wamachinga wachoma Barabara Wafanyabiashara wadogo jijini Mbeya…
VIDEO: Wizara ya Elimu imewasimamisha kazi wengine watatu
February 27 2016 Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwasimamisha kazi watumishi wake watatu kwa tuhuma za ubadhirifu, Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mkuu Maimuna Tarishi amesema…
Video ya magoli ya Yanga Vs Cercle de Joachim ya Mauritius, Full Time 2-0
February 27 2016 kwenye uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Yanga ilicheza game ya pili ya marudiano kwenye kombe la klabu Bingwa Afrika dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius ambapo mpaka mwisho, Yanga ikafanikiwa…
VIDEO: Dakika 11 za vurugu zilivyotokea katika uchaguzi wa Meya Dar
Leo February 27 2016 ilitangazwa kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam ambao ulipangwa kufanyika Karimjee hall Dar lakini wakati watu wakiwa wamekusanyika tayari kwa…
Yanga imeitoa Cercle de Jochim ya Mauritius, sasa itakutana na timu hii
February 27 klabu ya Dar Es Salaam Young African ilishuka dimbani kumenyana na klabu ya Cercle de Joachim ya Mauritius katika mchezo wake wa pili wa hatua ya kwanza ya…
Fujo zimetokea uchaguzi wa Meya Dar es salaam leo.. nina video ya sekunde 15 hapa
Leo February 27 2016 kulitokea vurugu kwenye uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam ambapo mzozo ulizuka baada ya kaimu mkurugenzi wa jiji kuahirisha uchaguzi hadi tarehe nyingine itakapotajwa…
VIDEO MPYA: Nay wa Mitego kaachia na video ya ‘shika adabu yako’ nimekuwekea hapa
Nay wa Mitego amekutana na headlines baada ya kuutoa akiwa kawachana baadhi ya mastaa wa Tanzania, ukishaitazama hii video unaweza kuacha comment umeionaje idea au chochote kingine ulichonacho ili ajue…
Picha 15 za mzozo uliotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa Dar es salaam kuahirishwa
Leo February 27 2016 ilitangazwa kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam ambao ulipangwa kufanyika Karimjee hall Dar lakini wakati watu wakiwa wamekusanyika tayari kwa…