Top 10 ya Tweets zilizopewa uzito kwenye Magazeti ya leo Feb 25 2016 unazisoma pamoja hapa!!
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini https://twitter.com/millardayo/status/702716083732652032 https://twitter.com/millardayo/status/702727590486941698 https://twitter.com/millardayo/status/702743186150711296…
Niliyokurekodia kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za magazeti leo Feb 25 2016… #PowerBreakfast (+Audio)
Baadhi ya stori zilizopata nafasi ya kusikika ni pamoja na Wenye makontena waanza kufilisiwa, mali zao kuanza kukamatwa leo na vyombo vya dola, Dhamira ya Rais Magufuli kupiga marufuku uagizwaji wa sukari…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 25 2016 kwenye udaku, hardnews na michezo
February 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Kama utapenda kusoma magazeti ya Uingereza ya Feb 25, ninayo hapa
Mtu wangu wa nguvu tukiwa tunaianza siku ya Alhamisi ya February 25 kila mtu ana anasubiria kujiandaa kwa mishemishe za kila siku, mtu wangu wa nguvu yasikupite yalioandikwa katika magazeti ya Uingereza,…
Video ya magoli yote ya Yanga Vs JKT Mlale FA Cup Feb 24 2016, Full Time 2-1
Mtu wangu wa nguvu burudani na mshikemshike wa mechi za Ligi Kuu Tanzania bara unaendelea, lakini Jumatano ya February 24, Yanga wameshuka dimbani kucheza mchezo wao wa 16 wa Kombe…
Licha ya kuwa ugenini, Man City wameifunga Dynamo Kyiv, Full Time 3-1 (+Video)
Usiku wa February 24 muendelezo wa mechi ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilipigwa kama kawaida, usiku wa February 24 ilipigwa michezo, klabu ya Man City…
Kama ulimiss U Heard ya leo ni mwendelezo kati ya Baraka da prince vs Linex …(+AUDIO)
Kwenye U heard ya Clouds FM leo ni muendelezo wa Uhead ya Feb 23 baada ya Linex kuojiwa na Soudy Brown kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa video ya mpenzi wake…
Usisahau kuwa Yanga imecheza leo dhidi ya JKT Mlale FA Cup, matokeo haya
Jumatano ya February 24 klabu ya Dar Es Salaam Young African ilikuwa mwenyeji wa klabu ya JKT Mlale katika mchezo wao wa hatua ya 16 bora yaa Kombe la FA…
Producer Lamar na beat ya Scott Storch, Mb Dog na jina lake? Wateule kuhusu kutoa video online…?(255+AUDIO)
Kwenye 255 XXL Clouds fm leo, stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Producer Lamar kupost akifanyia editing mdundo wa producer mkubwa duniani Scott Storch. 'Jamaa nilikuwa nimetengeneza beat, beat…
Serikali imetangaza gesi nyingine leo, msikilize Prof. Muhongo
Baada ya hedlines za muda mrefu kuhusu kugundulika kwa gesi Mtwara, kumbe utafiti ulikuwa unaendelea maeneo mengine ya Tanzania kuweza kubaini kama kuna sehemu nyingine yenye gesi. Leo Feb 24 Serikali…