Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 21 2016 kwenye, Hardnews na michezo
February 21 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Mbwana Samatta kafikisha dakika 60 za kuichezea KRC Genk, video yake ya jana uwanjani ninayo hapa
Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta February 20 2016 ametimiza jumla ya dakika 60 za kuitumikia klabu yake ya sasa ya KRC Genk ya Ubelgiji,…
Wayne Rooney amekataa zaidi Tsh bilioni 220 za wachina na kuendelea na msimamo huu …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man United Wayne Rooney wiki hii aliingia kwenye headlines baada ya klabu ya wachina ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu…
InstaNEWS: Lulu na Wema Sepetu wameyaandika haya baada ya kuona ya Idris Sultan kufumaniwa.
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama…
Daktari anatupa sababu zote zinazoweza kusababisha ujauzito wa Mwanamke kuharibika
Moja ya stori kubwa za mastaa wiki hii ilikua ni taarifa za ujauzito wa Wema Sepetu kuharibika, tumempata Daktari ambaye yuko tayari kuelezea ni vitu gani vinaweza kusababisha ujauzito wa…
Maamuzi mapya ya Rais Kenyatta kuhusu Treni mpya za abiria Nairobi.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kwamba June 2016 mradi wa ujenzi wa barabara za Treni za kisasa za kusafirisha watu kwenye jiji la Nairobi utazinduliwa rasmi. Taarifa niliyoidaka kupitia…
Full HD: Video iliyonasa magoli yote mawili ya Yanga vs Simba Feb 20. ( 2-0 )
February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya Yanga vs Simba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0, ikiwa ni…
Kutoka Kampala, mshindi wa kura za Urais Uganda 2016 ametangazwa..
Uganda ilikua kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais na Wabunge juzi ambapo matokeo ya awali yalianza kutolewa kuanzia jana lakini leo matokeo kamili yametolewa na Yoweri Museveni ambaye amekuwepo kwenye…
Picha 12 za Jux alivyoimba na watu wake Iringa…
Usiku wa February 19 2016 staa wa bongofleva na mmiliki wa mdundo mpya wa 'nakuchana' akiwa na Ben Pol, Jux alikutanishwa na mashabiki wake kupitia stage ya Club La-Parte Iringa, nikapita na mimi…
Full Video Ray Vicent Kigosi akizungumzia rangi ya ngozi yake
Mwigizaji wa bongomovie Ray 'Vicent Kigosi' ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia mkorogo…