Maamuzi ya Rais Magufuli baada ya kukutana na wasanii Ikulu….(+aUDIO)
Feb 18 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na baadhi ya wasanii pamoja na makundi aliyoshirikiana nayo katika kampeni zake za kuwania Urais mwaka 2015. Kikubwa ni haya maamuzi makubwa…
Noma za uchaguzi Uganda: FB Twitter na Whatsapp zilivyozimwa, video ya Besigye alivyokamatwa na majibu ya Museveni
Uchaguzi mkuu kwenye nchi ya Uganda umefanyika leo kwa watu kupiga kura ya nani wanamtaka awe Rais wao ambapo upinzani mkubwa kwa Rais Museveni aliyeiongoza Uganda kama Raisi kwa miaka…
Wasanii walipoalikwa Ikulu kwa mara ya kwanza na Rais Magufuli..
February 18 2016 inaingia kwenye headline kwa Wasanii wa Tanzania kualikwa na kula chakula cha mchana pamoja na Rais John Pombe Magufuli tangu ateuliwe,Rais Magufuli amekutana na wasanii hawa kama…
Kama Jose Mourinho akitua Man United, hawa ndio mastaa wa soka watakaojiunga nae …
Baada ya uvumi wa muda mrefu sasa kila shabiki wa soka la Uingereza hususani wa klabu ya Man United anatamani msimu umalizike ili zile stori zinazoandikwa sana na kuongelewa katika…
Picha 10 muonekano wa mji wa Moshi leo Feb 18 2016
Najua kuna watu wangu wao furaha yao ni kujionea muonekano wa maeneo mbalimbali ya kuvutia, na mimi kazi yangu ni kuhakikisha nakamilisha furaha hiyo. Hapa tayari nimezikusanya picha hizi kutokea mji wa…
Kuelekea mchezo dhidi ya Tottenham, Adebayor kaweka wazi alivyoondoka Spurs
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyekuwa anaichezea klabu ya Tottenham Hotspurs Emmanuel Adebayor alikuwa kimya kwa muda mrefu na kutokueleza chochote kilichomfanya aondolewe katika list ya wachezaji wa Tottenham Hotspurs…
Mwanamke kakutwa Hostel za wanachuo Dar akiwa kang’olewa meno, jamaa wakataka kumbaka…(Hekaheka+Audio)
Kwenye Hekaheka ya Clouds Fm Feb 18 2016 inamuhusu Mwanamke mjamzito na watoto wake wawili kukutwa katika hostel za Wanafunzi Dar, kaamua kuondoka nyumbani baada ya kuwa akipokea kipigo mara…
Video niliyoinasa wakati matokeo ya Form IV 2015 yakitangazwa leo
February 18 2016 Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015, jambo lingine kubwa lililopewa nafasi ni hili la viwango vya ufaulu vilivyotangazwa kuanza…
Ilikupita? Alichokiandika Wema Sepetu baada ya Ujauzito wake kuharibika. (+Audio)
Moja ya stori kubwa zilizokamata kwenye mitandao ya kijamii Feb 17 2016 ilikuwa ni post ya mrembo wa bongo Wema Sepetu ambaye aliandika maelezo kuhusu kuharibika kwa ujauzito wake, Full stori…
Sentensi sita za NECTA kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2015 (+Video)
February 18 baraza la mitihani Tanzania NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015 yafuatayo ni maneno matatu waliyosemwa na katibu mtendaji wa baraza la mitihani Tanzania NECTA Dk…