Hata kabla ya nusu mwaka kufika, hili ndio linatabiriwa kutwaa tuzo ya goli bora la Dunia kwa 2016 (+Video)
Kwa kawaida shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA huwa na utaratibu wa kutoa tuzo kadhaa mwishoni mwa mwaka, baadhi ya tuzo ambazo hutolewa huwa ni tuzo ya goli bora la mwaka…
Pichaz 12 Msiba wa John Woka, kuanzia eneo alilopatia ajali hadi nyumbani….
Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani ilikuwa ni ishu ya John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi, Leo asubuhi ya Feb 16 2016, mambo yakawa ni…
Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa mchezo wa PSG Vs Chelsea, hizi ni rekodi muhimu za kufahamu
Mtu wangu wa nguvu hatua ya 16 bora ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea kama kawaida usiku wa leo February 16, Usiku huu ndio siku ambayo tutashuhudia michezo miwili…
AUDIO: Ulimis? Rais Magufuli karudisha Polisi Bandarini Dar es salaam
Ni maamuzi mapya ya Rais Magufuli February 15 2016 kuhusu Ulinzi wa bandari ya Dar es salaam chini ya Polisi lakini pia kuna uteuzi alioufanya ukiwemo unaomuhusu Dr. Asharose Migiro…
Full Story: Kuhusu Wakurugenzi wanne waliosimamishwa bodi ya mikopo Tanzania
Maamuzi ya Mawaziri wa Rais Magufuli yanaendelea kuchukua headlines, February 16 2016 imekua zamu ya Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako ambaye amewasimamisha kazi watu wanne ikiwa ni siku moja…
Kuelekea mchezo wa Simba Vs Yanga Feb 20, hivi ni vibonzo 9 ambavyo hutumiwa na mashabiki kutaniana (+Pichaz)
Mtu wangu wa nguvu kwa wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20 katika uwanja wa Taifa…
VideoMPYA: Mirror na Baraka Da Prince wametuletea leo video yao mpya “Naogopa”
Mtu wangu wa nguvu list ya video kali kwa mwaka 2016 inazidi kuongeze kila kukicha kwa wasanii kutoka katika kiwanda cha Bongo Fleva kuamua kutengeneza video kali za hit single…
BREAKING: Waziri wa elimu kasimamisha kazi watu wanne bodi ya mikopo Tanzania
Ni habari kutoka kwa Waziri wa elimu Profesa Joyce Ndalichako ambaye leo February 16 amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo kuanzia leo na kuwasimamisha pia Wakurugenzi wengine watatu…
Bongofleva imepata msiba… John Woka amefariki alfajiri Dar es salaam
John Woka ni msanii ambaye Tanzania ilikuwa nae sana kwenye chati za muziki wa bongofleva kupitia kundi la Watukutu, na sasa Tanzania imepata taarifa za kifo chake kilichotokea alfajiri ya February 16…
Nimekurekodia habari Hot kwenye Magazeti ya leo Feb 16, wakati yakisomwa kwenye Power Breakfast.
Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti yakisomwa hewani leo feb 16, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa. Baadhi ya habari zilizopata…