Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 3 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 3 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya mechi za February 2
Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza, hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, February 2 ilichezwa michezo nane ya…
Pichaz sita za Neymar akitoka mahakamani kutoa ushahidi wa kesi yake …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar, February 2 amerudi kwenye headlines juu ya zile stori za dau la usajili wake, Neymar kaitwa mahakamani…
Halima Mdee vs Dk. Mwakyembe bungeni leo Febr 2 2016 …(+Audio)
Leo Febr 02 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma, lakini moja ya matukio yaliyojitokeza ni hili la majibizano ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee na Mbunge wa Kyela Dk. Harrison Mwakyembe.…
Dogo mwenye umri wa miaka 15 aliyeingia kwenye headlines za kusomea udaktari Afrika Kusini …
Kwa kawaida tumezoea kuona watoto wenye umri wa miaka 15 kuwaona wakiwa elimu ya sekondari hii, imekuwa tofauti kwa mtoto huyu kutoka Thulamahashe Mpumalanga Afrika Kusini kujiunga na chuo cha medicine nchini humo. Mwanafunzi…
Kama uliikosa video ya Mbwana Samatta alivyotua KRC Genk, sababu ya kuchagua kuvaa jezi namba 77 ipo hapa …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta January 29 taarifa za yeye kujiunga na klabu ya KRC Genk…
Refa kapata bahati ya kuchezesha mechi Ronaldinho akiwa ndani, akabidi aombe kupata kumbukumbu (+Video)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho Gaucho ameingia kwenye headlines baada ya refa kumuomba Ronaldinho asaini kadi yake ya njano kama…
VIDEO: Meli kubwa ya vitabu duniani imewasili Dar, kuna haya muhimu kuyajua…
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua…
Pichaz nane za Mgambo JKT wanavyofanya mazoezi mchana ya kuikabili Simba February 3
Ligi Kuu soka Tanzania bara kuendelea tena kesho Jumatano ya February 3 na Alhamisi ya February 4, kwa upande wa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mgamgo JKT ya Tanga…
Mahakimu nao wanaadhabu zao? Jaji Mkuu Chande ana haya yakushare na wewe…(+Video)
Jan 31 2016 Mahakama kuu Tanzania ilifanya uzinduzi wa wiki ya sheria nchini, kuna mengi huwenda hujawahi kuyajua kuhusu Mahakama na adhabu kwa Mahakimu wanazozipata pia..! hapa nakukutanisha na Jaji…