VIDEO: Lazima ikushtue ukiona magari yalivyozama kwenye maji baada ya hiki kivuko kulemewa
Ajali za vivuko inawezekana sio vitu ambavyo tumevishuhudia sana kuliko ajali za magari lakini ni kiukweli ni ajali nyingine zinazotisha na kuumiza kuona mali na watu wanavyoweza kupoteza maisha ndani…
CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016
Mwimbaji kutoka kwenye muziki wa bongofleva Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview ya onAIRwithMillardAyo na kuzungumza vitu vingi sana kuhusu maisha yake na muziki wake ambapo moja ya maswali aliyoyajibu…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 1 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Cristiano Ronaldo apiga hat-trick dhidi ya Espanyol, haya ndio matokeo kamili (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Hispania imeendelea leo January 31 kwa michezo kadhaa kuchezwa nchini Hispania, klabu ya Real Madrid ya Hispania ilikuwa katika dimba lake la Santiago Bernabeu kuwakabili Espanyol, Real Madrid ambao…
Maamuzi ya Lionel Messi kuhusu dogo aliyetengeneza jezi yake kwa mfuko wa plastic na kuvaa
Wiki iliyopita katika mitandao ya kijamii kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu mtoto aliyetengeneza jezi ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi kwa mfuko wa rambo na kuivaa. Kwa mapenzi…
Haya ndio majukumu mapya ya Rais Kikwete aliyopewa na Umoja wa Afrika AU leo January 31
Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili ya January 31 Umoja wa mataifa wa Afrika wametangaza kumpatia majukumu mapya. Dk…
Hiki ndio kipigo Chelsea walichowapatia Milton Keynes Dons Kombe la FA Jan 31 (+Pichaz&Video)
Weekend ya Jumamosi ya January 30 na Jumapili ya January 31 Ligi Kuu Uingereza haukuchezwa mchezo wowote wa Ligi Kuu, ila kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, Jumapili ya…
Hizi ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Man United kuhusu Bastian Schweinsteiger
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Man United ya Uingereza Bastian Schweinsteiger January 31 jina lake limegonga headlines za stori za soka barani Ulaya. Schweinsteiger anaingia kwenye headlines baada…
Maamuzi ya Chelsea kama Eden Hazard atajiunga na PSG au Real Madrid …
Baada ya headlines nyingi kuandika kuhusu kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza Eden Hazard kuwa vilabu vya Real Madrid ya Hispania na klabu ya…
Good News: Mabibi na mabwana Diamond Platnumz kazinyakua tuzo nyingine kubwa usiku wa leo
Mmiliki wa hit song ya 'Utanipenda' Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda. Ushindi alioupata ni…