VIDEO: C.U.F yagomea marudio ya uchaguzi mkuu Zanzibar
Jan 28 2016 Chama Cha Wananchi (CUF) kilitangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliotangazwa na Baraza la Uchaguzi Zanzibar kufanyika Machi 20 2016, hapa nimekusgezea video yenye full stori. https://www.youtube.com/watch?v=_axelva-0A8 Unataka…
VIDEO: Raia wabishi wa Marekani wanavyowatesa Polisi kwa kuendesha magari spidi livelive
Vihoja vipo hata Tanzania ila sababu hatuna rekodi ya kurekodi matukio yote kwenye video ila nchi kama Marekani ni kawaida, sasa tazama hii video hapa chini uone jinsi jamaa wanavyoharibu…
Wakati wowote kuanzia hivi sasa Chelsea watatangaza kukamilisha usajili wa staa huyu …
January 28 klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza imerudi tena kwenye headlines, safari ni ule muendelezo wa stori zao za usajili, Chelsea ambayo imeingia kwenye headlines za usajili mara…
Kilichonifikia kutoka Monduli Arusha kuhusu ajali ya moto shuleni…
January 28 2016 inakuwa siku nyingine inayobeba vichwa vya habari kuhusu ajali, hatujasahau kuhusu kuzama kivuko cha Kilombero Morogoro, inanifikia nyingine kuhusu kuteketea kwa majengo ya Shule ya Sekondari iliyopo…
Rais Magufuli amefanya mabadiliko Benki Kuu ya Tanzania leo Jan 28 2016
Rais John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko ya uteuzi na kumtea Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake…
‘CUF’ wametoa maamuzi yao kuhusu kinachoendelea Zanzibar
Siku chache zimepita tangu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha atangaze kuwa Machi 20, 2016 kuwa siku ya marudio ya uchaguzi Zanzibar. Haya ni maamuzi ya CUF…
Mrembo Jokate kwenye U Heard ya Soudy Brown, comments za instagram kaziona..? (+Audio)
Mrembo Jokate leo ndio aliyesikika kwenye U Heard ya Soudy Brown. Soudy anasema Jokate alipost video akijiachia kucheza mdundo wa remix ya 'Zigo' ya AY Feat. Diamond Platnumz alafu zikafatia comments mbaya.…
Staa wa tennis duniani kwenye fainali za Austalian Open…
Novak Djokovic amefuzu kucheza fainali ya mashindano ya tenisi ya Australian Open kwa mara ya sita baada ya kumfunga Roger Federer. Mchezaji huyo anayeshika nafasi ya kwanza kwa ubora duniani…
Kabla ya kufanya muziki Alikiba alikuwa wapi? mkono wa Nahreel umegusa Nigeria?.. mengine? (+Audio)
Mkali ya fleva za dancehall toka Bongo TZ, Chibwa Man amesema watu wake wanahitaji kumsogeza kwenye level za kimataifa, so kwa sasa mpango unaofatia unaweza kuwa ni kubadili lugha ili…
Mambo matatu kutoka kwa Rais wa TFF leo, ruhusa ya Azam FC kwenda Zambia, Yanga kutofanya uchaguzi na msiba wa kiongozi …
January 28 Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi alifanya mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya shirikisho hilo na kutangaza msiba wa aliyekuwa mjumbe…