Mwendelezo wa Hekaheka ya mwanamke aliyekutwa shimoni wakahisi msukule Dar.. (+Audio)
Hii Hekaheka imeanza tangu mwanzo wa wiki, stori ilianzia kwenye picha za mitandaoni kuhusu mwanamke mmoja aliyekutwa shimoni watu wakahisi msukule, Polisi wakaingilia kati baadae mwanamke huyo akapotea mazingira ya…
Dau lililompeleka kiungo huyu wa Tottenham kuichezea Newcastle…
Klabu ya soka Newcastle United imemsajili kiungo wa kimataifa wa Uingereza Andros Townsend kwa dau la pauni milioni 12 akitokea Tottenham Hotspur. Townsend mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba…
Hii ndio faini iliyotolewa na mahakama Brazil kwa Neymar na baba yake…
Staa wa Barcelona Neymar Jr pamoja na baba yake wameamriwa na mahakama huko Brazil kulipa kiasi cha Euro 100,000 zaidi ya milioni 200 za Kitanzania kama faini baada ya kushindwa…
Zilizonifikia kutoka Bungeni Dodoma na ajali ya kivuko Kilombero.. (+Picha)
Ninazo update mbili mpaka sasahivi mtu wangu, kwanza ni kutoka kwenye kikao cha Bunge Dodoma na nyingine kuhusu ajali ya kivuko kilichozama mto Kilombero. Kutoka Dodoma >> Baadhi ya Wabunge…
Jina la Lowassa Bungeni, Kesi ya Gwajima, kesi ya Makontena, Mvua..Magazetini
MWANANCHI Jina la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa limeibuka bungeni baada ya mbunge mmoja kuiuliza Serikali kuwa haioni haja ya kubadili sheria ili viongozi wa zamani wa kitaifa wasipewe…
Uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini >> ya Bungeni Dodoma? aliyezikwa na mali za wizi? Z’bar.. (Audio)
Vurugu zaibuka Bungeni baada ya Serikali kutangaza kusitisha matangazo ya Bunge live kupitia TBC, kushuka kwa bei ya mafuta kumesababisha kushuka kwa shughuli za utafiti wa nishati hiyo Mtwara, watu…
Haya ndio maamuzi ya Kanye West kuhusu beef ya Tyga na Drake
Ni muda mrefu umepita tangu beef ya mastaa wawili kutoka pande za Marekani Drake na Tyga ziingie kwenye headlines, Drake na Tyga beef kati yao ilijulikana mwaka 2014 baada ya…
Video ya sehemu ya dakika 45 za maisha ya furaha na majonzi ya R. Kelly
Staa wa muziki wa R&B kutoka pande za marekani ambaye alianza rasmi muziki mwaka 1989 akiwa na umri wa miaka 27 R. Kelly ameonesha uwezo wake wa kuongelea na kuimba…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 28 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 28 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Good News kwa Warembo, Flaviana Matata kawaletea rangi za kucha…(+Video)
Mrembo wa Kitanzania Flaviana Matata Jan 27 2016 alifanya uzinduzi rasmi wa bidhaa yake mpya ya rangi za kucha iliyofanyika Dar, tayari nimekusogezea video ya matukio yote nje ndani. https://www.youtube.com/watch?v=LzlE_36kz4Q&feature=youtu.be&hd=1 Unataka…