Good news kwa Bongo Fleva, list ya video za Bongo Fleva imeongezeka Trace Tv, hii imetambulishwa leo…
Ilikuwa ni nadra sana kuweka Mtv Base au Trace Tv ukakutana na video ya msanii wa Bongo Fleva inachezwa, siku hizi haishangazi kuona Alikiba, Diamond, Vanessa na wengine wakipata Air…
Niyonzima kavuliwa unahodha msaidizi Yanga? kwa nini hakuvaa beji FA Cup? majibu yapo hapa (+Audio)
Jumapili ya January 24 klabu ya Dar Es Salaam Young African ilishuka dimbani kucheza mchezo wake wa Kombe la FA dhidi ya Friends Rangers, lakini huu ulikuwa ni mchezo wa…
Rais Magufuli alivyomsimamisha kazi boss wa ‘NIDA’ na wengine wanne…(+AUDIO)
Jan 25 16 Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, hapa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatolea ufafanuzi mzima wa hatua hiyo. https://www.youtube.com/watch?v=l6Sgi_XsyPg&feature=youtu.be&hd=1…
Video ya mapokezi ya Ronaldinho na alivyonusurika kupata ajali Kerala India
Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil Ronaldinho Gaucho bado yupo kwenye headlines, licha ya kuwa hayupo katika timu kubwa ambazo tumezoea kumuona, lakini uzito wa jina lake bado ni…
Full Time ya Azam FC Vs African Lyon FA Cup Jan 25 2016 (+Pichaz)
Klabu ya Azam FC ambayo inajiandaa kusafiri kwenda Zambia kuweka kambi ili kujiandaa na michuano ya kimataifa, January 25 ilishuka dimbani katika uwanja wa Karume kucheza mechi yake ya Kombe…
Rais Magufuli kawasimamisha wengine watano leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha..
Moja ya ahadi kubwa alizoziweka Rais Magufuli tangu ameanza kazi na Serikali yake ya awamu ya tano iko ya kubana matumizi na kukabiliana na ubadhirifu. Taarifa nyingine imenifikia kutoka Ikulu…
Shabiki alivyomvamia Justin Bieber chumba cha kubadilishia nguo… (Video)
Kila mtu amekuwa na ushabiki na staa ama mtu yeyote ambaye amekua akivutiwa naye kwa kile anachokifanya. Shabiki huyu mwanamke wa Justin Bieber aligeuka kivutio wakati wa shoo ya Ellen…
Kutoka Mahakama Kuu Mwanza, nina mawili kwenye hukumu kesi ya Ester Bulaya kupingwa Ubunge..
Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais wa Tanzania ulifanyika October 25 2015, baada ya hapo matokeo yakatoka na kukawa na stori mfululizo kuhusu ishu ya matokeo ikiwemo Wabunge wengine…
Furaha nyingine ndani ya familia ya mwanasoka Wayne Rooney na mkewe Coleen..
Staa wa Manchester United Wayne Rooney na mke wake Coleen Rooney wameongeza furaha ndani ya familia yao baada ya kupata mtoto wao wa tatu. Wawili hao ambao tayari walikuwa na…
‘Take Kiss’ ya Di’Ja ndani kamshirikisha Babby Fresh..Video
Di'Ja kutoka mavin Records ameachia Video ya ngoma yake mpya 'Take Kiss' ndani akiwa kamshirikisha msanii mwenzake Baby Fresh. Karibu uitazame hapa Video yenyewe ambayo imeandaliwa na Adasa Cookey …