Madee atachoma moto gari? Clouds TV kimataifa? comments zinamuuma Idris? .. (+Audio)
Ilikuwa ahadi, ikabeba headlines mitandaoni kwamba Rais wa Manzese, Madee ambaye alisema iwapo klabu ya Arsenal itafungwa yuko tayari kuchoma moto moja ya magari yake. Matokeo ikawa hivyohivyo, akatafutwa kama…
Hekaheka na stori nzima ya mwanamke aliyekutwa ndani ya shimo Dar na kuhisiwa msukule.. (+Audio)
Hii stori imekuwa kubwa sana mitandaoni, picha zimesambaa zikionesha mwanamke mmoja aliyekutwa ndani ya shimo maeneo ya Kimara Dar. Timu ya Leo Tena imefika kwenye tukio na imesimuliwa kila kitu jinsi…
Mabibi na mabwana, mrembo Yemi Alade kaileta ‘Na Gode’ ya kiswahili kwenye video yake.. (+Video)
Wiki chache zilizopita staa wa Nigeria Yemi Alade aliachia video ya ngoma yake ya 'Na Gode' ambapo ameimba kwa kiswahili. Staa huyo karudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia…
Headlines za Idris Sultan na mrembo Wema Sepetu kwenye ukurasa mwingine, leo yameandikwa ya ujauzito..
Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni…
Vinara wa uhamiaji haramu, Waumini wamkataa Sheikh, Majipu NEMC, Uchaguzi Z’bar…MAGAZETI
MTANZANIA Waumini wa Kiislamu mkoani hapa wamemtaka Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zubeir, kutomrudisha madarakani aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu kwa madai kuwa anachangia kurudisha nyuma maendeleo…
Kama ilikupita kutana na mdundo mwingine wa Kendrick Lamar; ‘God Is Gangsta’ – (Video)!
Kutoka kwenye album yake ya To Pimp A Butterfly, rapper kutoka Compton, Marekani, Kendrick Lamar ameisogeza nyingine kwenye video kutoka kwenye Album hiyo. Wimbo unaitwa 'God Is Gangsta' na kama…
China kwenye baridi kali, nyuzi joto ni 4°C, idadi ya waliopoteza maisha je?…Video
Baada ya Marekani kuripotiwa kukumbwa na baridi kali hali iliyopelekea baadhi ya viwanja vya ndege, Barabara na reli kufungwa kwa muda..headlines zimehamia Taiwan. Wakati Tanzania ikikadiriwa kuwa na nyuzi 38°C…
Top 10 news kutoka kwenye kurasa za Magazetini Jan 25 >> rushwa mbele ya Kenyatta, ya UDA? nyoka walinzi..
Wakazi wa Kibada Dar wadai kuna wamiliki wa viwanja walioamua kuwaweka nyoka ili walinde viwanja, shirika la mabasi ya UDA ladaiwa kufilisika kutokana na madeni makubwa... Rais Kenyatta anasa Askari wawili waliokamatwa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 25 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Video ya magoli ya mchezo wa Yanga Vs Friends Rangers FA Cup, Full Time 3-0
Jumapili ya January 24 michezo ya Kombe la FA kwa Tanzania iliendelea kuchezwa, baada ya Jumamosi ya January 23 kuchezwa michezo kadhaa ikiwemo mchezo wa Simba dhidi ya Burkinafaso katika…