Real Madrid hali sio nzuri, waambulia sare dhidi ya Real Betis (+Pichaz&Video)
Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa jumapili ya January 24 walishuka dimbani kutafuta poitnt tatu katika dimba la ugenini kucheza na Real Betis, kwa sasa Real Madrid inaendelea…
Matokeo ya mechi aliyoahidi Madee kuchoma gari yake moto kama Arsenal itafungwa (+Pichaz&Video)
Jumapili ya January 24 Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, mchezo wa kwanza kuchezwa ulikuwa mchezo kati ya Everton dhidi ya Swansea City mchezo ambao ulimalizika kwa Swansea…
Yanga waendeleza rekodi ya kutofungwa, wameiadhibu Friends Rangers FA Cup
Michuano ya Kombe la FA limeendelea tena leo January 24, baada ya jana kushuhudia michezo kadhaa ikichezwa ikiwemo mchezo wa Simba dhidi ya Burkinafaso katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro. January 24…
Baridi ilivyosababisha baadhi ya Viwanja vya ndege, barabara kufungwa Marekani…Video
Taifa la Marekani ni moja ya nchi zinazokumbwa na kiasi kikubwa cha baridi duniani. Maeneo mengi Mashariki mwa marekani yamefukiwa na theluji kufuatia kuanguka kwa kiwango kikubwa zaidi cha theluji…
Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba..
Mume wa zamani wa mwanamuziki maarufu Marekani Mariah Carey, rapper na mchekeshaji Nick Cannon ameamua kutoa ya moyoni baada ya mkewe kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume mwingine bilionea James…
Maalim Seif na Lowassa Z’bar, Kauli ya Bernard Membe, Mavazi ya Kijeshi aliyovaa Rais…MAGAZETINI
MWANANCHI Wakati Eliakim Maswi aliporejeshwa kuwa katibu tawala wa mkoa akitokea nafasi ya kaimu naibu kamishna wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Ikulu ilisema uamuzi huo ulitokana na kumaliza kazi maalumu,…
Huyu ndio staa wa Bongo Fleva ambaye kama Arsenal itafungwa na Chelsea atachoma moja ya magari yake!!
Leo kutakuwa na mchezo mkali wa ligi kuu ya England kati ya mabingwa watetezi Chelsea dhidi ya Barcelona. Msanii Madee ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal ambaye leo atakuwa mpinzani…
Mourinho na barua nzito kwa klabu ya Man United..amesisitiza jambo!!
Jose Mourinho kwa sasa ni kocha huru..hii ni baada ya kufukuzwa katika klabu ya Chelsea baada ya kuonekana ikisuasua kwenye ligi kuu msimu huu. Kocha huyo bado ameonekana kutamani kuzifundisha…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 24 2016 kwenye Hardnews, michezo mengine
January 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Video za magoli ya Yanga na Simba walivyomaliza kwa ushindi mzunguuko wa kwanza wa Ligi ..
Weekend hii hakuna michezo ya Ligi Kuu bali ni Kombe la FA mtu wangu, kila timu inahangahika kuwania nafasi ya kusonga mbele, kwani ni mtoano, tukiachana na hayo mtu wangu…